SELECTED STUDENTS 2021/2022 Download list here
Mwaka wa masomo 2021/2022 udahili unaanza 27/05/2021,Mwisho wa kupokea maombi ni 13/08/2021 na masomo yataanza 18/10/2021
Kwa mawasiliano zaidi piga nambari 0672454647, 0746755755 au 0658616161
please apply now-Click here
Pakua/Download fomu ya maombi Download/Pakua
Please get reference number for school fees payments through our payments channels(NMB Bank,Tigo Pesa,Mpesa,Hallo Pesa and Airtel Money).Please Click here
Chuo cha Afya Kigamboni City College of Health and Allied Sciences,
chenye usajili kamili wa NACTE kwa namba REG/HAS/168 na kutambuliwa na Wizara ya Afya
Maombi yanapokelewa chuoni moja kwa moja chuoni Kigamboni Mwembe Mdogo. Tembelea tovuti yetu www.kiccohas.ac.tz ili kujiunga moja kwa moja kwenye mtandao(apply online) au pakua (download) Fomu ya kujiunga (Application form) na Fomu ya maelezo ya kujiunga (Joining Instructions form) fuata maelekezo ijaze na ututumie kwa njia ambayo ni rahisi kwako.
Maombi yote yatumwe kwa Mkuu wa chuo, S.L.P 90372 Dar es Salaam au kupitia barua pepe. admission@kiccohas.ac.tz
Tarehe ya kuripoti chuoni Kwa watakaochaguliwa kujiunga na chuo, Chuo kitafunguliwa 18/10/2021. Ada zetu ni 1,800,000/= na unaweza kulipa kwa kidogokidogo.
Kwa mawasiliano zaidi piga nambari 0672454647, 0746755755 au 0658616161
Wote wenye sifa mnakaribishwa Imetolewa na Mkuu wa CHUO KiCCoHAS DAR ES SALAAM
Unaweza lipia kupitia NMB Bank, DCB Bank,Tigo Pesa,MPesa,Air tel money au Easy Pesa
Read MoreAdmission for the academic year 2019/2020 please Apply nowClick here
Please download application form,Admission form/Joining Instruction and Medical form Click here
Please generate reference number for school fee payments Click here
Our students will have enough and good exposure to variety of practical skills. We have our Lab which is fully utilized for student practice under supervision and guidance of our qualified lecturers and tutors.